Albert Chalamila Awaonya Wafanyabiashara wa Simu2000 "Msiguse Hii Kichwa Niko Levo Nyingine"

Albert Chalamila Awaonya Wafanyabiashara wa  Simu2000 "Msiguse Hii Kichwa Niko Levo Nyingine"


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaonya Wafanyabiashara waliofunga eneo la Stendi ya Daladala katika Kituo cha Ubungo - Simu2000, Julai 8, 2024, a

Akisema bora wafunge Biashara zao na sio kituo au Barabara-Amesema “Kuna Watu mmepangana vilio, vimachozi, amekufinya mumeo unataka kuja kunililia mimi... chezeeni pote mnapoweza kuchezea.

Viongozi wote chezeeni ila msiguse hii kichwa, nipo kwenye levo nyingine sana ya maamuzi-Ameyasema hayo leo Jumamosi Julai 13, 2024 wakati wa kikao kati yake na Wafanyabiashara wa
Simu2000


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad