Azam FC Yachezea 4-1 Dhidi ya Wydad

 

Azam FC Yachezea 4-1 Dhidi ya Wydad

Wydad AC imepata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Azam FC katika mechi ya kirafiki iliyochezwa nchini Morocco.

Mabao yaliyoipa ushindi Wydad yamefungwa na Mohamed Rayhi, Monir El Habbach, Chouaib Faidi na Mohamed El Ouardi huku bao la kufutia machozi kwa Azam likifungwa na Cheikh Sidibé kwa mkwaju wa penalti.

Wydad kwa sasa inanolewa na Kocha, Rhulani Mokwena aliyeachana na Mamelodi Sundowns.

FT: Wydad 4-1 Azam.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad