Binti Mfalme wa DUBAI ampa talaka mumewe

 

Binti Mfalme wa DUBAI ampa talaka mumewe

Binti wa Mfalme wa Dubai, Sheikha Mahra Mohammed Al Maktoum ametangaza kumuacha mumewe Sheikh Mana Mohammed Rashid Al Maktoum kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram.


Ujumbe wake huo ulianza na kusema; "Mume wangu Mpendwa", na kumalizia kwa maneno "Ninakupa talaka, ninakupa talaka, na ninakupa talaka," ukionekana kutumia desturi ya Kiislamu inayojulikana kama talaka tatu.


Uamuzi wa Binti Mfamle Sheikha Mahra Al Makhtoum umeshangaza dunia na familia yake hawajaweza kuzungumzia hilo.


Je nini maoni yako? Sheria ya Kiislamu inamruhusu mwanamke wa Kiislamu kumuacha mumewe?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad