BREAKING; Ali Kamwe Ajiuzulu Kama Afisa Habari wa Yanga..


BREAKING; Ali Kamwe Ajiuzulu Kama Afisa Habari wa Yanga..


Ally Kamwe amejiuzulu kama Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC baada ya kuhudumu kwa misimu miwili tangu tarehe 25 Septemba 2022. Katika andiko lake Instagram, akiaga amesema:

"Mtumbuizaji mzuri anatakiwa kujua ni wakati gani wa kuondoka jukwaani. Kwa hekima hii, nawaambia kuwa ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka jukwaani. Nimesimama kwa miaka miwili juu ya hili jukwaa, tumeimba, tumecheza, tumefurahi, na tumeshinda pamoja. Muda wangu umemalizika, asanteni sana. Tutaonana tena nikiwa na kitu kizuri cha kuwaonyesha juu ya jukwaa."


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad