BREAKING: Aziz K Aamua Kubaki Yanga, Atupilia Mbali Offer za Mabilioni za Waarabu



Yanga SC wametangaza kuwa Kiungo Mshambuliaji wao Stephane Aziz Ki ameongeza Mkataba mpya kuitumikia timu hiyo.

Mkataba wa awali wa Aziz Ki na Yanga ulimalizika mwishoni mwa msimu wa 2023/2024 na kuanza kuhusishwa na Vilabu kama Orlando Pirates, Mamelod Sundowns, Kaizer Chiefs na CR Belouizdad ya Algeria.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad