BREAKING: Rais Samia Atengua Uteuzi Wa January Makamba

 

Rais Samia Atengua Uteuzi Wa January Makamba


January Makamba aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

Rais Samia Suluhu Hassan ametengua Uteuzi wa January Makamba aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki


Nafasi yake imechukuliwa na Balozi Mahmoud Kombo ambaye alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia

Rais Samia Atengua Uteuzi Wa January Makamba


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad