BREAKING: Rais William Ruto Avunjilia Mbali Baraza Lake la Mawaziri




Rais William Ruto amelivunjilia mbali baraza lake la mawaziri isipokuwa ile nafasi ya Kiongozi wa mawaziri na waziri wa masuala ya kigeni Musalia Mudavadi.

Rais Ruto amesema afisi ya naibu wa rais haijaathiriwa na mabadiliko hayo.

Amesema atachukua muda kufanya majadiliano ya kuunda baraza jipya la mawaziri litakalohusika na uendeshaji wa serikali.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad