Web

BREAKING: Yanga Wamrudisha Ali Kamwe Kwenye Nafasi yake

Top Post Ad




Rais wa Yanga Eng. Hersi na Makamu wake Arafat Haji wamefanikiwa kumrejesha kazini Ally Kamwe kwenye nafasi yake ya Meneja Habari na Mawasiliano na Tayari amesaini Mkataba Mpya wa miaka miwili ndani ya Klabu hiyo.

Kamwe alieleza changamoto zake kwa viongozi zilizompelekea kuchukua uamuzi wa kujiuzulu mbele ya Uongozi na kwa maslahi ya pande zote mbili wamekubaliana kuzifanyia kazi.

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.