Diddy Afunguliwa Mashtaka Mengine ya Biashara ya ngono


Mahakama kuu huko New York imeripotiwa kujiridhisha na Mashtaka ya Kesi mpya inayomkanili Nguli wa muziki #Diddy ya madai ya Biashara ya ngono
.
Hivi karibuni iliripotiwa kuwa Mwanamama Mmoja aliefahamika kwa jina la AdriaEnglish alimfungulia Kesi Diddy akimtuhumu alimlazimisha afanye mapenzi na wageni waliokuwa kwenye Party mwaka 2004.
.
Mashtaka dhidi ya Rapa Diddy yanazidi kuongezeka tangu mwezi Novemba mwka jana wakati mpenzi wake wa zamani CassieVentura aliwasilisha kesi dhidi ya rapa huyo akidai alinyanyaswa kijinsia.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad