Fabrice Ngoma.Abariki Usajili Simba "Msimu Ujao Itakuwa Zamu yetu Kuchukua Mataji"


“Nimeona wachezaji ambao klabu (Simba) imewatangaza. Binafsi inanipa moyo kuuona msimu ujao itakuwa zamu yetu kunyakua mataji kama Ligi Kuu, FA na mengine ambayo tuliyakosa msimu uliopita. Ukiachana na umri wao kiufundi ni wachezaji wazuri, ndio maana Simba ikawapa nafasi ya kuja kutumika ndani ya kikosi,” kiungo wa Simba, Fabrice Ngoma.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad