Haji Manara Atoa ya Moyoni Baada ya Chama Kutambulishwa Yanga



Haji Manara ametoa ya moyoni baada ya Chama Clatous kutambulishwa Jangwani.

“Nilijua ipo siku nitafanya kazi tena na hiki kiumbe, nilijua na niliamini hivyo kuna wakati alikubali hata kutofautiana na mabosi zake wa zamani kwa kunitetea mimi.


“Chama Babaaa, Chama Babaaa, Chama Weee Njoo Mwanangu Anyau Anyau Anyau Chamaaa.

“Imagine Being Us Wananchi??? Kama najiona hiyo siku ombeni uhai Wanayanga, itakuwa kubwa mno na haijawahi kutokea before.”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad