Haji Manara Awashauri SIMBA Wasipeleke Timu Uwanjani Tarehe 8 Simba na Yanga

 

Haji Manara Awashauri SIMBA Wasipeleke Timu Uwanjani Tarehe 8 Simba na Yanga


Haji Manara Awashauri SIMBA Wasipeleke Timu Uwanjani Tarehe 8 Simba na Yanga

Msemaji wa Yanga SC, Haji Manara amesema Simba SC wasiende Uwanjani Agosti 08 katika pambano lao Ngao ya Jamii la kuashiria kufunguliwa kwa msimu mpya.


Manara amesema wana timu imara na ya maana, hivyo mashabiki wa Simba SC wakaidi watakaoenda kiwanjani siku hiyo watakutana na maumivu.


“Tuna Chama, tuna Pacome. Tutaenda kuwafunga Simba SC si chini ya bao 4, tulikuwa na timu imara na timu ile imara imeongezewa watu wachache. Tuna kocha yule yule, wenzetu timu yao mpya. Jamani wasije Hajis Manara.


"Wachezaji kila ukiwauliza wanasema wao wanawaza Agosti 8 tu, nawaambia Simba SC wasilete timu yao uwanjani. Baleke ana hasira yani waambieni Agosti 08 wasilete timu uwanjani zile tano zisipojirudia sijui," alisema Manara.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad