Jezi ya Mchezaji Chama Apewa Debora...

Jezi ya Mchezaji Chama Apewa Debora...


Hii leo katika mazoezi ya kikosi cha Simba, nyota Debora Fernandez ameonekana kuvalia jezi yenye namba 17 aliyokuwa akiitumia Clatous Chama akiwa Simba.


Je, unadhani Debora ataweza kuitendea haki namba 17 ya Chama Simba?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad