Kibu Denis Ajitokeza, Amkana Yazidu Kuwa Msimamizi Wake


Baada ya Mwanasheria Rashid Yazidu kufanya mahojiano na vyombo mbalimbali vya habari akijitambulisha kama msimamizi wa Kibu Denis, mchezaji huyo [Kibu Denis] ameibuka na kumkana Yazidu.

Kibu amesema Yazidu ni mwanasheria ambaye alimpa kazi na baada ya kazi hiyo walimalizana na hawakuwa na mkataba wa kufanya kazi pamoja.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad