Kipa Metacha Mnata Afungashiwa Virago vyake Yanga


Klabu ya Yanga imeachana rasmi na mlinda mlango wake Metacha Mnata aliyehudumu kwenye kikosi hicho cha jangwani katika nyakati mbili tofauti.

Agosti 2019 Metacha alijiunga na Yanga akitokea Tanzania Prisons kabla ya kutimkia Fountain Gate (Singida Fountain Gate) kisha akarudi Yanga Januari 2023 kwa mkopo na kutumika kwa msimu mmoja na nusu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad