Kumbe Jonas Mkude Bado Yupo Sana Yanga

Kumbe Jonas Mkude Bado Yupo Sana Yanga


Kiungo Jonas Mkude leo ameshiriki mazoezi ya kikosi cha Yanga yanayoendelea Avic Town, yakiwa ni maandalizi kuelekea msimu mpya wa mashindano 2024/25.


Mkude tayari alishaongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia Yanga.


Kukosekana kwake katika siku za kwanza za pre-season kulipelekea kuibua tetesi huko mitandaoni kuwa ameachwa.


Nungungungu bado yupo sana Jangwani...!

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad