Kuria Kuhusu Kupunguzwa Kwa Idadi ya Wachezaji wa Kigeni




"Tumeamua kusisitiza kubaki na wachezaji wengi wakigeni licha ya watu wengi kutaka wachezaji wakigeni wapunguzwe,mafanikio ambayo tumeyapata ni kwasababu ya uwepo wa wachezaji wakigeni ambao kabla ya wao kuja timu zetu zilikuwa hazifanyi vyema katika michuano ya kimataifa.

"Kwa takwimu tulizonazo wachezaji wakigeni hawajafika 70 kati ya wachezaji 600 ambao huwa wanashiriki katika ligi kuu,hivyo wachezaji wetu wanatakiwa na wao watoke nje ili wakapate changamoto na sio sisi kupunguza idadi ya wachezaji wakigeni," KARIA RAIS WA TFF

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad