Magoma Atoa Siri 'Ali Kamwe na Manara ni Mashabiki wa Simba




Juma Ali Magoma, amefunguka kuhusu Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Ally kamwe pamoja na Haji Manara kuwa ni mashabiki na wanachama wa klabu ya Simba SC.

Magoma ameeleza zaidi kuwa watu hao wanatumika na viongozi wa klabu ya Simba SC amezungumza hayo kupitia Global TV

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad