Mahakama yakubali Ombi la Yanga, KESI ya Kina Mzee Magoma kuanza upya

 

Mahakama yakubali Ombi la Yanga, KESI ya Kina Mzee Magoma kuanza upya

 Mahakama yakubali Ombi la Yanga, KESI ya Kina Mzee Magoma kuanza upya

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imekubali ombi la Klabu ya Yanga Sc ya kusogezwa mbele kwa muda wa kusikilizwa kesi iliyofunguliwa na wanachama wa klabu hiyo, Juma Magoma na Geofrey Mwaipopo kuhusu uhalali wa Baraza la Qadhamini wa klabu hiyo.


Awali Mahakama hiyo iliamuru Uongozi wa klabu ya Yanga ukiongozwa na Rais wa Yanga Injinia Hersi Saidi na wenzake, kuachia ngazi na kuondoka kwenye klabu hiyo kwa kile kilichodaiwa kuwa Katiba ya Yanga haitambui uwepo wao.


Kufuatia hatua hiyo Mahakama hiyo itaisikiliza upya kesi hiyo na baadae maamuzi yatatolewa kuhusu kesi hiyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad