Mbunge wa Kuteuliwa na Rais na Naibu Waziri Ajiuzulu




Mbunge wa kuteuliwa na Rais na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amemuandikia Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson barua ya kujiuzulu Ubunge leo Julai 21, 2024.

Kwa mujibu ya barua aliyomuandikia Spika, Balozi Mbarouk amesema amefikia uamuzi huo kufuatia changamoto za kijamii zinazomkabili kwa sasa.

"Ninalazimika kuchukua uamuzi wa kujiuzulu ili nipate nafasi ya kushughulikia changamoto hizo," - amesema Balozi Mbarouk.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad