Mgeni rasmi "Simba Day" Mzee Magoma...! Ubaya Ubwela

 

Mgeni rasmi "Simba Day" Mzee Magoma...! Ubaya Ubwela

Wakati mzee Magoma akizidi kukamata vichwa vya wapenda michezo nchini kutokana na sakata lake na uongozi wa Klabu ya Yanga.


Upande wa Pili Klabu ya Simba SC inajiandaa na maandalizi ya Tamasha lake kubwa la "Simba Day" linalotarajiwa kufanyika Agosti 3 katika Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam.


Sasa katika hali ya kushangaza, Meneja wa Habari na Mawasiliano ya Klabu ya Simba, Ahmed Ally kupitia Ukurasa wake wa Instagram leo Juni 19 ameandika;


"Mgeni Rasmi Simba Day ni Mzee Magoma … Ubaya Ubwela"


Haijulikani kama Msemaji huyo anafanya utani ama anamaanisha alichokiandika.


Je wewe Shabiki wa Mnyama ungependa Mzee Magoma kupewa heshima hiyo, Tupe maoni yako.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad