Mo Awakutanisha Viongozi SIMBA, Wapanga mikakati Kabambe

 

Mo Awakutanisha Viongozi SIMBA, Wapanga mikakati Kabambe

Rais na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohammed Dewji amekutana na kufanya mazungumzo na Simba Executive Network (SEN).


SEN ni mtandao wa mashabiki wa Simba ambao huchangia ada ya 1,500,000 kwa mwaka kwa ajili ya miradi maalumu ya miundombinu ya klabu. Wanachama wa SEN hupata faida nyingi kama bima za maisha, tiketi za mechi na faida nyingine nyingi.


Kikao hicho kilihudhuriwa na Viongozi wa SEN akiwapo Mwenyekiti Abdulrazak Badru, Makamu wake Farouk Baghoza, Katibu Dkt. George Ruhago, Katibu Msaidizi Richard Mwalibwa na wanachama wa SEN. Menejimenti ya Simba iliongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu, Imani Kajula.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad