Mwanasheria Yanga "Kuna Watu Wako Nyuma ya Hili Sakati ili Kuivurugia Amani Yanga"



“Klabu iligundua kuwa kuna watu au kuna kundi la watu linalowatumia kuvuruga amani na tayari klabu kwa kushirikiana na vyombo vya usalama tumeanza kuwafanyia uchunguzi hao watu na wakishabainika wote watapelekwa mbele ya mkutano mkuu wa wanachama kama watakuwa wanachama halali na wanachama watachukua hatua.” - Mkurugenzi wa Sheria Yanga SC, Wakili Simon Patrick

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad