Nape Maji yamfika Shingoni, Aomba Radhi kwa kauli yake iliyozua Utata Mkubwa

 

Nape Maji yamfika Shingoni, Aomba Radhi kwa kauli yake iliyozua Utata Mkubwa

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewaomba radhi wananchi na wapenda demokrasia nchini kwa kauli ya utani aliyoitoa wakati akizunguma na wafanyabiashara wa Soko la Kashai, mjini Bukoba Julai 15, 2025 ambayo imezua mjadala mtandaoni.

TAZAMA VIDEO"


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad