Niliamini Wazazi Wetu Hawatupendi, Inaumiza sana!

Niliamini Wazazi Wetu Hawatupendi, Inaumiza sana!


Naitwa Kajia kutoka Mombasa, Kenya. Niliamini wazazi wetu hawatupendi kwa namna ambavyo walitufanyia. Kumbe usilolijua lina mengi, ni sawa na usiku wa giza. Wahenga waliosema hayo hawakukosea kabisa. 

Mimi na mdogo wangu tulipelekwa shule ya bweni tukiwa wadogo sana. Mimi nikiwa darasa la 4 yeye akiwa chekechea. Ulikua ni umri ambao tulihitaji kuwepo nyumbani na wazazi wetu kupata upendo wao. 

Ilichukua muda kuzoea yale maisha kwani nilikua nikilia kila siku kwa kukumbuka nyumbani lakini nilikua na kazi pia ya kumuangalia mdogo wangu na kumbembeleza pia sababu alikua bado mdogo.

Miaka yote hadi sekondari tumesoma hivyo hivyo shule za bweni. Ni siku si nyingi nilimuambia mama jinsi hili jambo lilituathiri katika malezi yetu kitu ambacho kamwe hatuwezi kuja kusahau. 

Ndipo mama akanieleza sababu kwaninj ghafla tulipelekwa shule ya bweni katika umri mdogo. Alisema ni kwa sababu ya hali mbaya iliyokuwepo kati yake na baba yetu. Walikuwa hawaelewani kabisa. 

Ndoa ilikua ina matatizo mengi na hawakua wakielewana kabisa. Ikalazimu tutolewe kwenye yale mazingira ili tusione vile visa ambavyo vilikuwa vinaendelea pale nyumbani. 

Akaniambia muda tuko likizo ilikua wanajifanya amani ipo kwa kipindi kifupi ili tusione yanayoendelea. Kisha tukiondoka ugomvi wao unaendelea kama kawaida. 

Mama alisema hali ilikuja kutulia baada ya yeye kwenda kwa Kiwanga Doctors, wataalamu wa tiba asilia ambao walimpa pete ya uchawi wa mapenzi ambayo ndio iliyokuja kurejesha amani katika familia yetu. 

Niliumia lakini nilielewa. Ninachoomba Mungu anisaidie nitakapokua na ndoa yangu, nipate nafasi ya kuwa karibu na watoto wangu kwenye ukuaji wao bila changamoto kama hizi. Inaumiza.

Ukiachana na hayo, Kiwanga Doctors wana uzoefu wa miongo kadhaa ya kutibu kwa kutumia dawa kali za mitishamba kuponya magonjwa kama shinikizo la damu, kisukari, vidonda vya tumbo, kisonono, kaswende, TB, miguu kuvimba au kuwaka moto n.k. 

Wasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba +255763926750 au +254769404965, kwa maelezo zaidi tembelea www.kiwangadoctors.com



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad