Paka Amtaja Bingwa wa Fainali ya EURO, England vs Hispania

 

Paka Amtaja Bingwa wa Fainali ya EURO, England vs Hispania

Paka maarufu kwenye utabiri wa mechi za mpira wa miguu ‘ Nimbus ‘ ametabiri kuwa timu ya Taifa ya Uingereza itashinda taji la EURO hii leo kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Hispania

Nimbus amekuwa akitabiri mara kadhaa na tabiri zake kutokea kweli , ingawa mara kadhaa amekuwa akikosea , kinachowapa watu moyo ni kwamba kwenye EURO akitabiri England inaashinda mara zote huwa hivyo

Tabiri zake tatu kwa England zote amepatia

1.England vs Netherlands [ England ] Alipatia 2.Uswizi vs England [ England ] Alipatia 3.England vs Slovakia [ England] Alipatia

Tabiri zake tatu kwa Spain moja amekosa

1.Spain vs France [ France ] Alikosea 2.Spain vs Geogia [ Spain ] Alipatia 3.Spain vs Germany [ Spain ] Alipatia

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad