Rais Samia Amuapisha Bosi Mpya Uslama wa Taifa

 

Rais Samia Amuapisha Bosi Mpya Uslama wa Taifa

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuapisha Suleiman Abubakar Mombo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Julai 11, 2024.


Kabla ya uteuzi huu, Mombo alikuwa Afisa Mwandamizi wa Ofisi ya Rais, Ikulu na anachukua nafasi ya Balozi Ali Idi Siwa ambaye amestaafu.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad