Rasmi: Simba yamtambulisha Joshua Mutale

 

Rasmi: Simba yamtambulisha Joshua Mutale

Klabu ya Simba Sc imemtambulisha rasmi winga wa kimataifa wa Zambia, Joshua Mutale baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia Wekundu wa Msimbazi.


Joshua amejiunga na Simba kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Power Dynamos ya Zambia na atavaa jezi namba 10 mgongoni.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad