Aliyekuwa winga wa Simba SC, Pape Ousmane Sakho amepewa "Thank You" na Klabu yake Quevilley - Rouen Métropole maarufu kama QRM inayoshiriki Ligi Daraja la Tatu nchini Ufaransa.
Winga huyu machachari amecheza mechi 3 tu kwenye timu hiyo akiwa hana rekodi yoyote ya goli wala assist! Unamshauri nini?