Simba Hawapoi, Wamtambulisha Karaboue Chamou Toka Ivory Coast

 

Simba hawapoi, wamtambulisha Karaboue Chamou toka Ivory Coast

Klabu ya Simba imefanikiwa kuinasa saini ya mlinzi wa kati, Karaboue Chamou raia wa Ivory Coast kutoka klabu ya Racing Club d’ Abidjan kwa mkataba wa miaka miwili.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad