Stefflon Don: Burna Boy ndiye Mpenzi wa Maisha yangu

 

Stefflon Don: Burna Boy ndiye Mpenzi wa Maisha yangu

Rapper na mwimbaji wa Uingereza, Stephanie Allen, maarufu kama Stefflon Don, anasema staa huyo wa muziki Africa ndiyo mpenzi wa maisha yake.


Amesema hayo kupitia interview aliyofanya na #NandoLeaks; "Bado sijaolewa ila nipo kwenye mahusiano. Kila mtu anajua story yangu na Burna Boy, ni mpenzi wa maisha yangu".


Wawili hao walianza ku-date mwaka 2019 baada ya kukutana nchini Ghana na penzi lao lilikufa rasmi 2021.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad