Tapeli Aliyejifanya ni Kipofu Avamiwa na Kundi la nyuki

Tapeli Aliyejifanya ni Kipofu Avamiwa na Kundi la nyuki


Mwanaume mmoja wa umri wa makamo, Ino Bosire huamka kila asubuhi, si kwenda kazini, bali kuvizia kando ya barabara kwenye viunga vya Uasin Gishu akijifanya kipofu na kuwaibia wakazi wa eneo hilo. 

Kwa kumtazama alikuwa na sifa zote za kipofu, fimbo ya kutembea, karatasi kadhaa zilizoandikwa kwa maandishi ya nukta nundu na macho yasiyobadilika ambayo yanafahamika kuwa nao na vipofu. 

Lakini sio kweli kwamba alikuwa kipofu, huyu alikuwa mjanja mwenye uwezo wa kumlaghai mtu yeyote pesa alizochuma kwa bidii, ana mbinu ya ajabu sana ambayo imeundwa vyema ili kukidhi mahitaji yake.

Waathirika wengi wa vitendo vyake ya utapeli walikuwa wanawake, anachokifanya anajifanya kuwa amedondosha karatasi zake za nukta nundu na kumuomba mwanamke husika amsaidie kuziokota. 

Mwanamke yule akijaribu tu kumsaidia, mara moja anampulizia mchanganyiko wa gesi na kumfanya kupoteza fahamu, kisha anachukua kila kitu cha thamani kutoka kwake na kuondoka katika eneo hilo. 

Lakini siku tatu zilizopita, alimfanyia mwanamke mmoja aitwaye Neema utapeli huo, lakini Neema tayari alikuwa amesikia kisa cha cha rafiki yake aliyepoteza pesa na simu, yeye pia alipoteza vitu vyake katika ulaghai huo.

Neema aliamua kutumia usaidizi kutoka kwa Kiwanga Doctors ili aweze kupata mali zake ambazo alitapeliwa na kipofu yule wa uongo, basi waganga hao wa mitishamba wenye nguvu walimshughulikia Ino vilivyo. 

Huu ulikuwa mwisho wa njia kwa Ino Bosire kutapeli watu fedha zao, asubuhi moja alipofika eneo lake la utapeli, alishambuliwa na kundi la nyuki ambao walijishikanisha na mwili wake. 

Nyuki hao walimsukuma hadi kwenye eneo ambao alimtepeliea Neema, mwanamke huyu alikuwa hapo akimsubiri kwa hamu, alipofika hapo ndipo kila mmoja akajua kuwa ni tapeli aliyeshindikana katika eneo hilo. 

Ino alilia sana kwa uchungu huku akiwa anajikojolea, Neema  akamfuata na akamgusa na nyuki wakaondoka, basi Ino aliomba msamaha na kupigwa faini ya fedha kutoka kwa Kiwanga Doctors na tangu kipindi hicho akaachana na utapeli na kujiingiza katika shughuli za kilimo.

Kwa simulizi kali kama hizi tembelea tovuti yake www.kiwangadoctors.com au mpigie Kiwanga Doctors kwa namba +255763926750 au +254769404965.



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad