Unaambiwa Mzize Ndio Mshambuaji Hatari zaidi Ndani ya Yanga Kwa Sasa....



Uwezo wake wa kubeba mipira katika Mid 3rd na Final 3rd unavyovutia wapinzani kwake na kutengeneza nafasi wazi kwa akina Aziz, Dube , Maxi, Abuya + Runners wengine kufanya yao ktk attacking transition

• Kiwango cha “carries” per match kuiondoa Yanga katika hali ya mashinikizo ya ulinzi mpaka kulazimisha mashambulizi kwa wapinzani anachokitoa..Incredible.

• Uelewa wake wa Maelekezo ya mwalimu na kuyatimiza uwanjani ni 🔝notch.

Rejea goli la Pili la Yanga v Kaizer jana, jinsi alivyokuwepo kuexploit press trigger indications upande wa Kushoto wa Kaizer, Mzize alikuwa anamzonga mlinzi tokea nje,ikamlazimisha mlinzi kurejesha mpira ndani ambako palikuwa na utitiri wa Shape ya Watu wa 5 wa Yanga waliosogea kuhigh press...Mlinzi akakosea kwa kurejesha mpira usio na nguvu, hatimaye Dube akaunasa,pasi kwa Runner Abuya ndani ya Box, Abuya na Ball on the space nyuma ya Recovering Defenders...Aziz Ki na Simple Tap in..Kamba ipo, Lakini bao lilianzia kwa Mzize...

Bao la Tatu, Excellent run toka kwa Dube nyuma ya Backline ya Kaizer kupokea mpira wa juu tokea eneo la Kiungo...Kisha Dube akawa anabuy time kusubiri runners ili atoe pasi iamue umaliziwaji wa shambulizi...Again Mzize reaction yake kuoverlap kwenye nafasi huru kulia kupokea pasi ya Dube na kufung jinsi alivyofunga..Utulivu wa hali ya juu

• Hapa Sijagusia uharaka wake kurudi kuzuia timu ikiwa Mid au Low v Presha ya mashambulizi...I rate @clementinho49 a whole lot, naamini hata Gamondi anafurahi sana kuwa naye ndio maana hata miongoni mwa Attackers wake wote, Mzize ni mmoja wa waliocheza dk nyingi zaidi katika Pre Season so far.

NB: KUNA ULE UELEWANO wa pamoja kureact na kuadhibu makosa ya kiulinzi, kutunza umbile la timu katika high press, midblock pressing au Low pressure + Control na utunzaji mali kushinikiza mashambulizi au kuruhusu Dynamism na combimation play baina yao katika Eneo la mwisho nimeuona toka kwa Dube,Mzize,Abuya,Maxi na Aziz Ki...

HAWA WA5 wakiendeleza moto wao Ligi msimu ujao itaisha mapema + WATACHEZA sana pamoja. Dangerous Front 5 wakiwa na waspokuwa na mpira

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad