UTEUZI: Dkt. Selemani Saidi Jafo Ateuliwa Kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara

UTEUZI: Dkt. Selemani Saidi Jafo Ateuliwa Kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara


Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Selemani Saidi Jafo kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara akichukua nafasi ya Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji ambaye ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).


Kabla ya uteuzi huu, Dkt. Jafo alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad