UTEUZI: Juma Mwenda Ateuliwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA

UTEUZI: Juma Mwenda Ateuliwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA


Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Yusuph Juma Mwenda kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) akichukua nafasi ya Alphayo Japan Kidata ambaye ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais, Ofisi ya Rais - Ikulu.

Kabla ya uteuzi huu, Mwenda alikuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA)

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad