Yanga Watapigika Kama Ngoma au Wataipiga Tena Kaizer Chiefs Wananchi Day?



Msimu wa 2023/2024 kila ya Yanga walicheza mchezo wa kirafiki na klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini Wiki ya Mwananchi (Yanga Day)

Mchezo huo ulichezwa July 22 Wiki ya Mwananchi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa na Yanga waliibuka washindi kwa goli 1-0 lililofungwa na dakika ya 46 kipindi cha kwanza.

Sasa Yanga wanarudiana na Kaizer Chiefs July 28 huko kwa Madiba Afrika Kusini katika michuano mipya ambayo imeandaliwa na Kaizer Chiefs ya Toyota Cup.

Swali ni moja Yanga wataendeleza ubabe wao kwa Kaizer au Kaizer watafuta Uteja kwa Yanga??

Mwananchi unasemaje?? Mtapigika au kitaumana kwa Madiba??

Kumbuka kuwa Yanga hii ina CHAMA, AZIZ KI, DUBE, PACCOME & NZINGELI

Usisahau kuwa ⚽ Kaizer Chiefs vs Yanga
Itakua on channel namba 222 kifurushi cha Bomba tarehe 28 July

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad