Yanga Wazindua Jezi Mpya, Ni Noma na Nusu Zitazame Hapa


Kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa 2024/2025 Yanga SC wametambulisha rasmi jezi zao za nyumbani, ugenini na jezi mbadapa (third kit) watakazotumia katika msimu ujao wa mashindano, jezi hizo zitauzwa Tsh 45,000.






Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad