Web

Aishi Manula Atemwa Simba, Hayupo Katika Kikosi Kilichotambulishwa Simba Day

Top Post Ad

Aishi Manula Atemwa Simba, Hayupo Katika Kikosi Kilichotambulishwa Simba Day


Sintofahamu inayoendelea kati ya Simba SC na Aishi Manula imetoa sura mpya mara baada ya utambulisho wa wachezaji kukamilika bila ya jina lake kutajwa.

Zipo taarifa kuwa mchezaji huyo ameomba kuondoka lakini uongozi wa klabu bado unasikilizia kwenye kufanya maamuzi .

Ubaya umeanzia ndani

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.