Azam Kufungwa na APR si Ajabu, APR ni Timu Kubwa Kuliko Azam...




Ni sawa Azam FC kafungwa ila APR sio timu ndogo kabisa, yaani Azam FC ni ndogo mno kwa APR, hawa Jamaa wa Rwanda wanataka kurejea walipotoka ilikuwa timu tishio ukanda huu wa maziwa makuu, ilizalisha vipaji vingi sana kuanzia Oliver Karekezi, Jean Mugeraneza, Meddie Kagere na Haruna Niyonzima, sasa Jeshi la Rwanda linapambana kurejesha makali yao.

Kwangu AZAM wanahitaji muda angalau misimu mitatu mbele wanaweza kuwa tishio Afrika ila waanze na KUFUKUZA Kocha kwanza.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad