Aziz K Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora Ligi Kuu Bara MVP
0Udaku SpecialAugust 02, 2024
Top Post Ad
Kiungo Mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya Mchezaji bora wa Ligi Kuu ya NBC (MVP) 2023/24 kwa kuwashinda Feisal Salum (Azam FC), Kipre Junior (Azam FC), Djigui Diarra (Yanga SC) na Lay Matampi (Coastal Union), Ibrahim Bacca (Yanga), Kouassi Yao (Yanga) na Mohamed Hussein (Simba SC).