Bacca Ashinda Tuzo ya Beki Bora Ligi Kuu Bara


Bacca Ashinda Tuzo ya Beki Bora Ligi Kuu Bara

Beki wa kati wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars na Club ya Yanga Ibrahim Bacca ameshinda tuzo ya Beki bora wa msimu wa Ligi Kuu ya NBC kwa kuwashinda Kouassi Yao wa Yanga na Mohamed Hussein wa Simba.

Golikipa wa Coastal Union ya Tanga Lay Matampi Raia wa Congo DR ameshinda tuzo ya Kipa bora wa Ligi Kuu Tanzania bara (NBC) msimu wa 2023/24 kwa kuwashinda Djigui Diarra wa Yanga na Ayoub Lakred wa Simba SC.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad