Bei za Mafuta Zapanda Kuanzia Kutumika Leo....



Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta zinazoanza kutumika leo Agosti 7, 2024 ambapo kwa Dar, Petroli imepanda kutoka Tsh. 3,210 hadi Tsh. 3,231, Dizeli kutoka Tsh. 3,115 hadi 3,131 na Mafuta ya Taa yameshuka kutoka Tsh. 3,261 hadi Tsh. 3,257 kwa Lita


Katika Bandari ya Tanga Petroli ni Tsh. 3,229, Dizeli Tsh. 3,138 na Mafuta ya Taa Tsh. 3,303. Bandari ya Mtwara Petroli ni Tsh. 3,304, Dizeli Tsh. 3,140 na Mafuta ya Taa Tsh. 3,329 kwa Lita

Aidha, EWURA imesema gharama za uagizaji Mafuta zimeongezeka kwa wastani wa 3.58% kwa Petroli, Dizeli 4.35% na Mafuta ya Taa zimeshuka kwa 7.45% katika Bandari ya Dar








Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad