DILI LA ONANA KUCHEZA QATAR LAOTA MBAWA

𝐃𝐈𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐎𝐍𝐀𝐍𝐀 𝐊𝐖𝐄𝐍𝐃𝐀 𝐐𝐀𝐓𝐀𝐑 𝐋𝐈𝐌𝐄𝐅𝐄𝐋𝐈 𝐑𝐀𝐒𝐌𝐈


Dili la mchezaji wa Simba Willy Esomba Onana huenda lisitimie  baada ya Uongozi na kamati  ya usajili kuanza kumjadili  kwa kina mchezaji  huyo.

Vilabu vya Qatar huwa vinapendekeza mchezaji wanayemtaka kumsajili kisha kuna kamati hukaa chini kumjadili mchezaji na kuchukua uamuzi wa mwisho.

Inaonekana kamati haipendezwi na kiwango cha Onana na hawana uhakika kama anaweza kufanikiwa kwenye ligi hiyo na wamependekeza kutokuendlea na mpango huo.

Kama dili Ili likishindikana basi klabu hiyo itamrudisha kwenye Timu yake ya Simba Sc ambayo ana mkataba nayo Simba italazimika kumtaftia Klabu nyingine.

Onana aliondoka Simba na nafasi yake ilichukuliwa na Kipa Musa Camara,aula klabu ya Simba imtoe Ayoub Lakred ili Onana Baki maana inaonekana Bado anatakiwa kubaki Simba SC Tanzania

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad