Boka Afunguka Baada ya Kumiminiwa Sifa Kiwango Chake Alichoonyesha Yanga

Boka Afunguka Baada ya Kumiminiwa Sifa Kiwango Chake Alichoonyesha Yanga





“Mashabiki wameona kazi yangu kuwa ni nzuri, ila mimi naujua ubora wangu hivyo nikipata mechi kama tano nitakuwa kwenye uwezo mkubwa zaidi ya huu wa sasa.

Kitu kinachonifanya nijitume sana ni ubora wa kikosi na pia mzuka wa mashabiki ambao wakati wote wako nyuma yetu kuhakikisha wanatupa morali ili tusonge mbele na kuwapa furaha,” Chadrack Boka, beki mpya wa Yanga [via Mwananchi]

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad