BREAKING: Kamanda wa Polisi Dodoma Asimamisha na Kuhamishiwa Makao Makuu ya Polisi

BREAKING: Kamanda wa Polisi Dodoma Asimamisha na Kuhamishiwa Makao Makuu ya Polisi


 Mkuu wa Jeshi la Polisi, Camillus Wambura amemhamisha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Kamishna Msaidizi Mwandamizi, SACP Theopista Mallya kwenda Makao Makuu ya Polisi Dodoma na nafasi yake kuchukuliwa na Kamishna Msaidizi Mwandamizi SACP George Katabazi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad