BREAKING; Klabu ya Soka ya KMC Yakubali Kumuachia Awesu Aende Simba


Klabu ya Soka ya KMC, imetangaza kufikia makubaliano ya uhamisho wa aliyekuwa nahodha wake Awesu Ali Awesu kwenda Simba SC.

Kwa mujibu wa taarifa ya KMC, makubaliano hayo yamefikiwa baada ya vikao vya timu zote mbili

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad