BREAKING: Ummy Mwalimu Atenguliwa Uwaziri, Apewa Jenista Mhagama



Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko kwenye Baraza la Mawaziri na kumteua Jenista Mhagama kuwa Waziri wa Afya akichukua nafasi ya Ummy Mwalimu ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Kabla ya uteuzi huo, Mhagama alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu).

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad