Clatous Chama Ampigia Salute Mchezaji Aziz K....


Clatous Chama Ampigia Salute Mchezaji Aziz K....

Kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga Clatous Chama amenyoosha mikono juu na kumpa heshima kiungo mwenzake wa Yanga Stephanie Aziz Ki baada ya mchezaji huyo kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu Tanzania bara jana kwenye usiku wa tuzo za TFF.

Chama 'amepiga saluti hiyo' kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram kwa kuchapisha picha ya Aziz Ki yenye maneno MVP ikiwa na maana ya "Most Valuable Player" au mchezaji mwenye thamani kubwa zaidi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad