Eng Hersi Afunguka Sakata la Yanga Kukataa Kumuuza Mchezaji Mzize Kwa Waarabu

 
Eng Hersi Afunguka Sakata la Yanga Kukataa Kumuuza Mchezaji Mzize Kwa Waarabu

Mzize ni tegemeo la Taifa letu ataendelea kuwepo Yanga ana Mengi ya kujifunza Yanga

“Kila mchezaji anayecheza Yanga anatakiwa na timu nyingine Afrika. Unajua ni kwa nini? Kwa sababu tuna wachezaji bora sana katika kikosi chetu.

“Walid Mzize ni tegemeo la taifa letu. Makocha wote wawili wa Yanga [Nabi na Gamondi] wamempa nafasi. Kwa sasa yuko kwenye mikono salama zaidi akiwa na jezi ya Yanga na ana mengi ya kujifunza na hapa ndio mahala sahihi kwake kwa maslani ya timu yetu ya Taifa pia"

- Eng Hersi Said, Via Wasafi FM
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad