Eng. Hersi Said Afunguka Uhusiano wake na Fei Toto "Yule ni Hazina ya Taifa"


Eng. Hersi Said Afunguka Uhusiano wake na Fei Toto "Yule ni Hazina ya Taifa"


“Feisal ni moja ya wachezaji bora tulio nao kwenye Ligi Yetu, mimi namjua binafsi ni kijana mzuri, kwenye maisha yangu sijawahi kuwa na shinda na Feisal na yeye analijua hilo.

“Sitaki kuhukumu yaliyopita mimi ni kiongozi wa mpira tunamuhitaji kwenye maendeleo ya Taifa letu tunamuhitaji kwenye vilabu vyetu, tunamuombea Mungu afanye vizuri ni hazina kwenye Timu yetu,” Rais wa Yanga Sc, Eng. Hersi Said.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad